Search

164 results for Sanjito Msafiri :

  1. Profesa Janabi aonya kuhusu sukari, akikabidhi msaada waathirika wa mafuriko Rufiji

    THPS imekabidhi msaada kwa waathirika wa mafuriko mkoani Pwani, ukiwemo sukari.

  2. Samia atoa tani 300 za chakula kwa  waathirika wa mafuriko ya Rufiji

    Msaada huo umekabidhiwa leo Jumatatu Aprili 15, 2024 kwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakari Kunenge huku utaratibu wa kuwafikia walengwa ukiendelea kufanyika.

  3. Tarura lawamani ujenzi wa makalavati

    Mwaka 2022 na 2023 wakazi wa Kibaha Mtaa wa Tangini walichanga Sh9 milioni, mbunge akaongeza Sh2 milioni wakaweka makalavati kwenye barabara moja

  4. Gari la shirika la umma ladaiwa kuua mwanafunzi, wananchi wafunga barabara

    Polisi wasema wamelikamata gari wanachunguza la nani

  5. Huu hapa ujumbe wa Pasaka wa viongozi wa dini, waamini

    "Yesu ameleta amani, ujumbe wa amani uendelezwe mahali pote ili nchi yetu na ulimwengu kwa ujumla pawe mahali pa amani, ujumbe wa Yesu alipofufuka ni amani kwa watu wote kwa kusema amani iwe nawe.

  6. Ajali sasa tishio Mkoa wa Pwani

    Miongoni mwa ajali hizo ni ile iliyotokea asubuhi ya leo Machi 29, 2024 na kusaba-bisha vifo vya mashabiki wawili wa klabu ya soka ya Simba.

  7. Dereva asimulia abiria walivyonusurika kifo ajali ya mabasi mawili Ruvu

    Dereva wa lori lililogongwa na mabasi mawili ya Kampuni ya New Force na Sauli na kusababisha vifo vya watu wawili na kujeruhi wengine watatu, amesimulia namna ajali hiyo ilivyotokea huku abiria...

  8. Ajali Ruvu yasababisha msongamano wa magari mitaani

    Mabasi yaliyohusika kwenye ajali hiyo ni Sauli la Dar - Mbeya na New Force Dar -Tunduma.

  9. Mabasi mawili, lori la mafuta yateketea, barabara yafungwa

    Mabasi mawili yaliyokuwa yakitoka Mbeya na Tunduma kwenda Dar es Salaam yameteketea kwa moto baada ya kugongana na lori la mafuta katika eneo la Ruvu mkoani Pwani usiku wa kumamkia leo Alhamisi...

  10. Waandishi wa habari wawili wafariki dunia ajalini Pwani

    Walikuwa wakitoka Dar es Salaam kwenda Lindi

Page 1 of 17

Next